UVUNAJI NA UUZAJI WA SAMAKI AINA YA KAMBALE:
Ndugu Mnyema Mfugaji wa samaki aina ya kambale anatarajia kuvuna anatarajia kuvuna samaki wake hivyo anayofuraha kuwaalika wadau wote hususani wachuuzi kwenye shamba lake anapofugia.
Eneo :Kibaha kwa Mfipa
Kwa ufafanuzi zaidi kuhusiana na bidhaa na mengineyo kumhusu Mnyema tumia mawasiliano haya:
namba za simu: +255716879793
+255779763434
Karibuni sana!
No comments:
Post a Comment